Rekogha Logo

Karibu Rekogha

Mfumo bora wa kurekodi na kufuatilia gharama za nyumbani kwa Kiswahili. Panga bajeti yako, rekodi bili, na fuatilia kila kiasi cha pesa kinavyotumika.

Ingia Kwenye Akaunti Jisajili Bure
Una maswali? Wasiliana Nasi

Wanafamilia Wote

Rekodi matumizi ya Baba, Mama, Watoto na Wafanyakazi wa nyumbani. Kila mmoja anaweza kuingia na akaunti yake.

Ripoti na Chati

Jua ni kiasi gani kimetumika kwa Chakula, Umeme, au Nguo kila mwezi kupitia chati za kisasa.

Bajeti na Bili

Panga bajeti ya mwezi na lipia bili zako (Umeme, Maji, Kodi) moja kwa moja kupitia mfumo.

Arifa za Wakati

Pata taarifa mtandaoni na kwenye emaili mtumiaji anapoongeza gharama au kulipia bili.

Risiti na Picha

Pakia picha za risiti au bidhaa ulizonunua kwa ajili ya kumbukumbu na usaidizi wa siku za usoni.

Tumia kama App

Install Rekogha App kwenye simu yako na uitumie kama App halisi kila wakati.