Mfumo bora wa kurekodi na kufuatilia gharama za nyumbani kwa Kiswahili. Panga bajeti yako, rekodi bili, na fuatilia kila kiasi cha pesa kinavyotumika.
Una maswali? Wasiliana NasiRekodi matumizi ya Baba, Mama, Watoto na Wafanyakazi wa nyumbani. Kila mmoja anaweza kuingia na akaunti yake.
Jua ni kiasi gani kimetumika kwa Chakula, Umeme, au Nguo kila mwezi kupitia chati za kisasa.
Panga bajeti ya mwezi na lipia bili zako (Umeme, Maji, Kodi) moja kwa moja kupitia mfumo.
Pata taarifa mtandaoni na kwenye emaili mtumiaji anapoongeza gharama au kulipia bili.
Pakia picha za risiti au bidhaa ulizonunua kwa ajili ya kumbukumbu na usaidizi wa siku za usoni.
Install Rekogha App kwenye simu yako na uitumie kama App halisi kila wakati.